Philippians 3:3-4

3 aKwa maana sisi ndio tulio tohara, sisi tumwabuduo Mungu katika Roho, tunaona fahari katika Al-Masihi Isa, ambao hatuweki tumaini letu katika mwili, 4 bingawa mimi mwenyewe ninazo sababu za kuutumainia mwili.

Kama mtu yeyote akidhani anazo sababu za kuutumainia mwili, mimi zaidi.
Copyright information for SwhKC